Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,556
- 7,385
Ni salamu ya jioni mkuuAlamsiki.
SijakuelewaHabari ni ndugu na jamaa pole na blue Monday ninaomba kufahamu muhimu na matumizi ya account ya fahari huduma kutoka CRDB BANK inayo msikiliza mteja na haina foleni kwa upana na ufanisi wake ili tuzidi kuvutia na kuitumia zaidi hii account ya CRDB BANK
Alamsiki
kivipimkuu mimi ninacho omba ni ufafanuzi tu ili nipate mwanga ni hii huduma ya fahari wengine waliniambia kuwa inaweza kuwa ni sawa na chapu chapu ya nmb bankSijakuelewa
Mbona kama umeshajijibu?.
We ni mtanzania kweli?.Kijijini wapi mkuu mimi ninacho omba ni ufafanuzi tu ili nipate mwanga ni hii huduma ya fahari wengine waliniambia kuwa inaweza kuwa ni sawa na chapu chapu ya nmb bank
Kwani vipi mkuu ?!We ni mtanzania kweli?.
Naona hujui kiswahili vizuriKwani vipi mkuu ?!
Nakufahamu vizuri sema keywords ya smartphone ilikuwa inazengua sanaNaona hujui kiswahili vizuri
Kweli kuna lake lilikuwa maarufu sana kuliko yeye mwenyeweVipi unaachia lini wimbo mpya
[emoji848][emoji44][emoji44]Kweli kuna lake lilikuwa maarufu sana kuliko yeye mwenyewe
Jina lake[emoji848][emoji44][emoji44]