crdb benki isiyomjali mteja ina shida kwenye app yake..mara ya kwanza namtumia mtu muamala, network inakata kuwa nianze upya. Nimerudia mara tano. Imefeli. Baadaye inatoa fedha mara zote tano na kutuma wakati ilikuwa ina cancell procedure. Nikaliwa hasara maana mpokeaji akasema hela imeingia kwenye namba ya simu na ana deni imekatwa.
Mara ya pili nimetuma muamala na wamenipa risiti......mpokeaji wa NMB hajapokea fedha nacrdb wameirejesha kwangu siyo kama fedha inayorejeshwa bali kama fedha iliyotumwa kwangu.....
Tatu leo asbh nimefanya muamala risiti wametoa lkn hakuna msg kama hela imeenda, ila kwenye account imepunguzwa na aliyetumiwa hajapokea fedha.....
.....nimepiga huduma kwa wateja nimekaa zaidi ya dakika 5 hakuna aliyepokea simu......sasa hii simbanking mbona inakuwa na usumbufu mkubwa sana kuliko kwenda wilaya nyingine kutafuta huduma ndani ya benki?????
......mnachelewesha malipo ambayo mm nimefanya kwa wakati?...ANY LIABILITY?
.....should I seek any legal redress???