Trump
anatekeleza kile ambacho Barack Obama alikianzisha, lkn Dunia nzima inamuandama D.Trump, na kumuacha miguu mirefu akila bata caribbean!
Donald Trump
hakuitengeneza orodha ya hizo nchi 7 zilizopigwa marufuku kuingia USA, bali
aliikuta orodha ktk kwa Utawala wa Obama na akaamua kuitekeleza lkn anaandamwa Trump, na Miguu mirefu anaachwa, kweli hii Dunia ina f
ull of idiots!
Jamaa kakinukisha halafu kasepa zake carribean dadeki!