Crash program Wedding

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
..kwamba kijana amekaa akaona wakati muafaka wa kusogea altare na kusema i do uwe lets say december.......mara mambo yanaharibika bint mjamzito!!

busara apo ni ipi;kusubiri ajifungue ndio afunge ndoa au ifungwe chapchap na mtumbo.....ila kijana anadai hajajipanga kiuchumi kufunga ndoa!!what would you advise him...........au ndo akomae na hiyo crash programm maisha yaendelee.........
 
mi namshauri aache mtt azaliwe,ndoa na kitumbo sidhani kama inapendeza kwa kweli,anachopaswa aombe mungu tu mtt azaliwe salama, kwa sasa amuandalie kijacho mapokezi ya haja!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…