Ndugu Electrical Technian
Kwa sasa kuna mbadala wa OGWhatsapp
1. WhatsFapp v1.05 (Dual WhatsApp+ Reborn in One Phone) CHUKUA HAPA
2. WhatsMapp Solo v1.1.0 CHUKUA HAPA
Utaratibu wa ku_install ni ulele kama OGWhatsapp
Mkuu jana imetoka whatsfapp version 2.1.1 iko stable sana
Tofauti ya hizo version ni ipi?
- Hizi ni "Modified" au cracked version ya official whatsapp
- Hizi zimeondoa restriction amabazo zipo kwenye official Whatsapp; Mfano [a] Uwezo wa kutuma file kubwa zaidi ya kiwango kinachoruhusiwa na official whatsapp , [b] Unaweza kutumia Namba za simu zaidi ya moja kwa simu moja - mfano WhatsFapp - Waweza tumia hadi namba 3, Na whatsMapp unaweza tumia namba mbili tofauti, [c] Waweza kuifanyia customization kwa kadri utakavyo kama kubadili fonts , [d] Wengine wataongezea
kama uko na interest na kutumia WhatsApp tatu kwa device moja nitafute lakin pia cm yako iwe kidogo ina uwezo ...niliweka uzi hapa but naona swala lilikuwa gumu watu kuelewa nimetenga muda kukupa maelezo ya kina na pia utoaji wa number za nje unaendelea nicheki WhatsApp +15164000528