C.P.A ni kufanya mitahani ya kukucertify kuwa mhasibu kamili bila kuwa na c.p.a ukiwa na Hiyo Dip utaitwa Accounts Assistant.
we upo field gani swahiba?

ataanzia foundation.. Na kwenda Intermediate lazima uwe na Barua ya kufaulu iyo level ya foundation au uwe umemaliza shahada ya uhasibu au uhasibu na fedha ndo utaanza na hiyo Intermediate