Cowbama.

Ni ngoma ya 14 kutoka katika album yake mwisho(NG'E) katika enzi zake Bonge moja la ngoma akielezea nikwajinsi gani pisi moja ambayo imetulia katika mahusiano lakini mwana anamdhalilisha Kwa Mikasa mbali mbali aisee kwenye mahusiano hii ngoma MACOW WIZZY aliandika sana sana haijawahi tokea na isitoshe Komando binti machozi Queen of Bongo fleva(LADY JAY DEE) alitendea kazi kwenye chorus matata nahapa kwenye mdundo Lamar alijitahidi sana
"KUWA NA MMOJA AMBAYE ATAKUTHAMINI BECAUSE WE NI BONGE LA QUEEN"Alimalizia marehemu ALBERT MANGWERA Aka GWAIR(R.I.P)
 
Huu mdundo noma....Jay Dee kaumiza
Beat na flow ya ngwair
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ