Wakuchanja Member Joined Oct 12, 2017 Posts 82 Reaction score 54 Oct 31, 2018 #1 Salama wakuu Ninawazo la kuanzisha biashara ya kuprint macover ya sim na laptop Mwenye uwelewa vifaa vinavyo hitajika na printer ya aina gani na kias gan inauzwa anisaidie plz
Salama wakuu Ninawazo la kuanzisha biashara ya kuprint macover ya sim na laptop Mwenye uwelewa vifaa vinavyo hitajika na printer ya aina gani na kias gan inauzwa anisaidie plz