Course zipi nzuri kwa waliosoma Arts?

Kila kozi ni nzuri, ila kitu cha muhimu cha kuzingatia kwenye uchaguzi wa kozi, ni kuangalia moyo wako unataka nn, uwezo wako(talent) juu ya kozi hucka, pia ni vizuri kujua upana wa soko la ajira; na kitu kikubwa na muhimu utakaapoanza kuisoma kozi hucka jitahidi sana kuijua ndani na nje, nikimaanisha usisome kwa kukariri bali kwa kuielewa, jitahd sn kutafuta taarifa nying zinazohusu kozi yako. Ukiwa na ujuzi wa kutosha(competency), haijalishi waliosoma hyo kozi wako milioni, utapata kazi tu.
 

Thanks Mitonyo! So useful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…