kuna watu wamemaliza mwaka juzi,jana,na mwaka huu pia watahitimu na bado wako home. mi naona education iko poa alafu ajiendeleze. ila HSM now ajira ni za kutafuta

Ushaur wang kasome kitu ambacho interested nacho ww.. Swala la ajira siku hizi ni tatzo kwa course zote isipokuwa BAED..ila kam utasomea kitu ambacho unakipenda itakuwa vzuri zaid...