Ben baba Member Joined Dec 31, 2015 Posts 68 Reaction score 34 Feb 12, 2016 #1 wasalaam wadau jamani samahani naombeni msaada wenu wa mawazo hivi naweza kupata chuo kinachofundisha masomo ya jion au distant learning katika course za afya especially certificate na diploma? tafadhali mchango wenu ni mhimu
wasalaam wadau jamani samahani naombeni msaada wenu wa mawazo hivi naweza kupata chuo kinachofundisha masomo ya jion au distant learning katika course za afya especially certificate na diploma? tafadhali mchango wenu ni mhimu
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 7,004 Reaction score 9,265 Feb 12, 2016 #2 dah afya za watu usome jioni mkuu, sidhani ila kama saikolojia sawa
Ben baba Member Joined Dec 31, 2015 Posts 68 Reaction score 34 Feb 13, 2016 Thread starter #3 mmmh hahahaaa jion huezi soma afya mkuu