an dah to mi kuuliza ukasome nn nakuona ni mtu ambaye huna uelekeo uceweza kujitathimin kwamba n nn unataka au unakipenda ndo ukifanyie kaz, kusubiri mtu akuambie ww unataka nn bla kujiongeza utafeli tuu. xo angalia malengo yko n nn then put much effort kwenye ilo, xo kabla ya kuja huku tuambie kwanza unataka nn ndo upewe ushaur