Counter attack ya ccm dhidi ya cdm

mliberali

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
12,344
Reaction score
15,278
Kwa kuwa ccm iko taabani kisiasa kilichobaki ni heri tukose wote au tufe wote,

kwa jinsi nilivyo wastudy ccm, baaada ya kufanya mauaji kadha wa kadha na kuwateka na kuwaumiza wale wanaoonekana kuwapinga kwa maslahi yao kisiasa,

mbinu walioamua kuitumia ni kutengeneza video fake kuwasingizia cdm eti ni magaidi wakati dunia nzima inajua magaidi,mafia ni ccm,

kwa hiyo baada ya kambi ya upinzani kumtaja bwana kinana kama kinara wa kuua tembo na kusafirisha meno yake, ili kujibu mapigo, badala ya shughulika na tatizo watafanya kila linalowezekana kumbakika kashfa viongozi wa upinzani (cdm) ili ionekane siyo kinana peke yake ni muhujumu nchi, hata wapinzani nao ni wahujumu nchi,

kama wanavyotaka kutuaminisha kwamba siyo nchimbi na mwigulu tu wa _(ccm). Ndo wauaji hata lwakatare(cdm) naye ni muuaji

nawataadharisha wapinzani (cdm)kama wana biashara zao halali wawe makini sana, ccm wanataka kufa na mtu
 
Ndesa pesa na wengine wanabiashara zao miaka wanachofanya ni kufuata sharia za nchi, wakisakizia watapigwa za uso kama wanavyobamizwa kila waliletalo linaangukia pua
 

Aise hii ni noma, kama hawa jamaa wameamua kutengeneza video feki..
.....Juzi niliona video moja ya pale Arusha NMC eti dakitari Slaa anasema "nchi haitotawalika" Dokta na ustaarabu wake na umri na mvi zilizojaa busara anaweza kutamka maneno ya kigaidi kama yale...kweli..Lazima video ile ni feki..Babu yetu sio alshabab...FAKERS...

(soma kwa sauti ya chini tafadhali)
.... kwa hili la kuwataadharisha wafanyabiashara wa CDM mbona kama ndio unawachongea kwani uzoefu unaonyesha asilimia tisini na tisa ya wafanyabiashara wanaotoka jirani na "mlima mrefu" (kama ilivyo kwa wadosi) ni wakwepa kodi kweli kwei...Hawapendi kulipa "FATI"
Sasa wakiandamwa si tutaathirika wengi...Yesuuuu....Masawe fikiria mara mbili mbili kabla hujasungumsa hasarani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…