ushungi wa zanzibar
Member
- Jun 29, 2015
- 96
- 29
1..kutataliwa kwa rufaa ya baby sea..
2...kuuzwa kwa wanyama wetu na maliasili nyingi nje ya nchi...
3...kuuawa kwa wandishi wa habari, wanaharakati pamoja na polisi na vyombo vya dola kutumia nguvu kupita kiasi...
4...katiba mpya iliyopelekea kifo cha DR. SENKONDO ADRIAN MVUNGI...
5..
6..
Milioni 10 pesa ya mboga
Kuuwawa kwa kiongozi wa kundi la alquaida Osama bin laden na majeshi ya Marekani
Baby sea ndii nani??
Meli ya MV Spice
Islander iliyozama na kuua takribani watu 240 Nungwi, Huku TBC ikionesha Taarab
Hahaha,mkuu jamaa we hujamsoma,yeye anataka ku boost issue ya Siasa humu,sasa naona umempotezea unamuhamisha nchi,wakati mwenzi katumwa na cha watu kachukua,hahahaKuuwawa kwa kiongozi wa kundi la alquaida Osama bin laden na majeshi ya Marekani
Ujio wa Obama, Barabara zikapigwa deki
Membe akawatangazia Wananchi wa mikoani wasije mjini mpaka Obama aondoke.
umetisha kaka..,
JK kuahirisha kwenda nje kisa kushiriki msiba wa KANUMBA wakati BRIGEDIA KOTA alifariki kashindwa kutuma hata mwakilishi....
BAADHI YA VIONGOZI WA DUNIA KURUDI TZ NA KUANGUKIA KWENYE SIASA NA UONGOZI WA TZ...ie,.BIBI NSHOMIRE/HiZi NI HERA ZA MBOGA TU RWETABAZI, DR. ASHA MIGIRO, PROF. MUONGO