Nyinyi ndiyo mnsababisha kuenea kwa antibiotic resistance, sasa mtu ananunua hilo kopo, kila anaekohoa ndani ya nyumba yake atapewa antibiotics wakati magonjwa mengine mwili unaweza kujitibu wenyewe bila kuhitaji dawa. Ni muhimu kupata prescription ya dr kama unaumwa na ukimaliza kutumia antibiotics zilizobaki zipeleke pharmacy wakusaidie kuzitupa/kuteketeza.