Kwamba unamtongoza mwanamke naye anakubali hii cost umerisk kutongoza naye amerisk kukubali makubaliano yanakuwa ni 50/50
Unamgharamia kwa vyakula mavazi vinywaji na whatever, hapa inakula kwako lakini naye anakuja kukupa kipochi manyoya ujinafasi hapa amelipia japo inaweza isiwe 50/50 lakini tayari ni cost sharing.
HALAFU ukimaliza shida zako bila kuonyesha ufundi na umahiri na kucheza na kibubu mpaka kitoboke na kumwaga maji hiyo ni ULTIMATUM imekula kwako mazima.