Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,310
- 28,594
Kivip?
I can patent obscure viruses that will manifest themselves in 2070. Today.CORONA VIRUS PATENTED on 22.05.2007.
Patent number US 7220852 B1 Made in USA by Mr.Paul.A.Rota - Larry.J.Anderson - William.J.Bellini and others, for the U.S. Dept of Health, crazy innit, well it is now clear that it created to cause fear pandemonium, panic to drive folks to get the vaccines the government's are going to roll out for the masses, be very mindful of the 1918 - 1919 Spanish Influenza pandemic whereby 50 million people died worldwide, not from the virus but from the national vaccine program announced goal of vaccinating every person, 50 million people died worldwide as a direct result of the shots, it was as a result of public outcry being so great that it was officially stopped, history has a sinister way of repeating itself, don't be a victim...boost your immune system and you will win this war that has been waged on the masses,
Kutoka kiwanda gani?kuna version nyingi za corona, hizo ni old model na hiini new model ndo maana hii imeitwa 2019-ncorona.
Mkuu hata uwatetee vipi US achomoki katika hili. Tunajua kwa nini unakerwa na kutobolewa siri hii.I can patent obscure viruses that will manifest themselves in 2070. Today.
Does that mean that if the said virus will manifest themselves fully in 2070, I am responsible for that manifestation and the ensuing fear?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimemtetea nani?Mkuu hata uwatetee vipi US achomoki katika hili. Tunajua kwa nini unakerwa na kutobolewa siri hii.
Wakiwatia maradhiHii sayansi yao hawa wazungu kwa nini inawatuma kutengeneza haya madude? yanayosababisha maafa duniani.
Dawa yaweza kupatikanaWapi nimemtetea nani?
Sijauliza dawa inaweza kupatikana au haiwezi kupatikana.Dawa yaweza kupatikana
Russia's Ministry of Health names three drugs that can treat new Chinese coronavirus
While experts across the world search for a vaccine to tackle the dangerous new infection, Russian health bosses have identified a trio of existing medicines to combat 2019-nCoV in adults.www.rt.com
Kausha, Mkuu. Tujikite kwenye taarifa hii yenye matumaini.😊😊Sijauliza dawa inaweza kupatikana au haiwezi kupatikana.
Nimeuliza wapi nimemtetea nani?
Hujajibu swali uliloulizwa na swali unalojibu sijauliza.
Matumaini yanaua kuliko ugonjwa.Kausha, Mkuu. Tujikite kwenye taarifa hii yenye matumaini.😊😊
Duh! Hii sikuijua kabla ya leo. Kama una muda wa kutosha fafanua zaidi kauli yako hii.Matumaini yanaua kuliko ugonjwa.
Wapi nimemtetea nani?
Ni janga linalotokana na virusi kama majanga mengine yanayotokana na virusi, sihitaji nadharia ya Mungu kuelezea hilo.Usieamini uwepo wa Mungu unalizungumziaje kisayansi janga hili la Corona virus?