Madalali nimeshinda nao maana wanataka wapate zaidi kuliko mwenye mali.
Ungem'pm akupe namba yake mmalizane.Unapatikana wapi kwa ajili ya kuliona?
Ungem'pm akupe namba yake mmalizane.
Ila nakushauri siku ya kwenda kulichek usibebe pesa.Ameweka namba yake sawa ila nataka nijue alipo nikalione gari....
Ila nakushauri siku ya kwenda kulichek usibebe pesa.
Jamani Wiyelele, naomba jadilini gari sio elimu na wadhifa wangu jamani.
Vigari vizima sana hivi
Nsuri kabisa, Km 10 kwa lita moja kama unatumia AC.
Nauza gari hili, bei nzuri kabisa. 5.7 mil negotiable. Lina 1490 CC, 1998, Registration ASE, Ina sports rim, mileage chini ya 125,000. Engine safi haijawahi kuguswa. Ilipigwa rangi za bamber ya mbele na nyuma tu lakini ina original colour. Ni safi ndani na ina AC kali. Linatembea.
Email me at mwenipasa@gmail.com. Call me at 0715 498 438
View attachment 79877View attachment 79878 View attachment 79879 View attachment 79880 View attachment 79881 View attachment 79882 View attachment 79883