golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
0767044842Wakuu poleni na majukumu.
Ada ya mja kunena, wakuu nahitaji kununua corolla X, bajeti 3.5m
Sifa za gari
-Namba yeyote Ile
-Iwe katika Hali nzuri
Simu 0716411720
Bora ununue gazeti ujipepee.Wakuu poleni na majukumu.
Ada ya mja kunena, wakuu nahitaji kununua corolla X, bajeti 3.5m
Sifa za gari
-Namba yeyote Ile
-Iwe katika Hali nzuri
Simu 0716411720
KwaniniBora ununue gazeti ujipepee.
Hela ndogo sana hiyo.Kwanini
Mkuu mipango tuNunua vyerehani 8 ufungue viwanda viwili (8/2) uunge mkono juhudi za pogba!
Hapana, nina mipango na hiyo gariNunua vyerehani 8 ufungue viwanda viwili (8/2) uunge mkono juhudi za pogba!