Copa de la Rey El Classico: Messi vs Ronaldo battle continues

leo hamchomoki Madrid
hahahahaha haina tabu....dawa ya barca morinho anayo tokea kipindi kileeeee....ambapo hadi gadiola akajiuzulu...sasas ngoja uone mambo yatavyo kua!!!!!
 
Fc Barcelona Manager, Tito Vilanova hatokuwepo ktk pambano ila msaidizi wake Jord Roura atakuwa Bench.
 
May be!! Barca are in a great shape,so is Lionel Messi!! I smell blood,Madrid might be easily sucked!!

kitu kitakacho waponza barca ni kujua wazi madrid ni mbovu na kujua watashinda muda wowote ila kingine upande wa madrid ni kujiona wameshafungwa hapo lakini hawatataka kutokea santigo zaidi ya kwenda camp nou na kutolewa huko.

I Bet draw at S bernabeu..
 
hahahahaha haina tabu....dawa ya barca morinho anayo tokea kipindi kileeeee....ambapo hadi gadiola akajiuzulu...sasas ngoja uone mambo yatavyo kua!!!!!

Ckia mkuu, ukiiangalia Madrid ya leo imekosa wachezaji wake wengi wenye uzoefu kama Iker, Pepe, Di Maria, Coentrao. Na kikubwa zaid ni Mgogoro uliopo ndani ya Club. Na kwa sasa hakuna Club iliyokwenye moto wa kuotea mbali kama Barca
 
hakuna Draw pale Bernabeu, Madrid anapigwa Goal zake kadhaa leo
 
Ckia mkuu, ukiiangalia Madrid ya leo imekosa wachezaji wake wengi wenye uzoefu kama Iker, Pepe, Di Maria, Coentrao. Na kikubwa zaid ni Mgogoro uliopo ndani ya Club. Na kwa sasa hakuna Club iliyokwenye moto wa kuotea mbali kama Barca
hilo sipingi hata kidogo....ni ukweli usiopingika kwamba wapo kwenye hali ngum kwa sasa hasa kwa kukosekana casilas, lakin jua wanacheza na barca na ni timu zenye ushindani,naiman hata tofauti wataweka pemben na kupiga ball!!! mimi nawapa nafasi madrid kushinda!!!!
 
Kwa kweli ushindi kwa Madrid leo ni kitu kigumu sanaaa, usishangae leo waka-defence ila wasipate matokeo mabaya, ili wakapgane vilivyo Camp Nou kwan watakuwa wamekamilika isipokuwa Iker.
 
Kwa kweli ushindi kwa Madrid leo ni kitu kigumu sanaaa, usishangae leo waka-defence ila wasipate matokeo mabaya, ili wakapgane vilivyo Camp Nou kwan watakuwa wamekamilika isipokuwa Iker.
hilo pia linaweza tokea ila jua kama usipombanjua barca santiago nou camb itakuaje?? all the same this is a game and every body has a chance to win!!! na kama wakilinda basa gemu haitakua na mvuto!!!
 
hilo pia linaweza tokea ila jua kama usipombanjua barca santiago nou camb itakuaje?? all the same this is a game and every body has a chance to win!!! na kama wakilinda basa gemu haitakua na mvuto!!!

Mkuu tusubirie Muda tuu twende tukashuhudie wanaojua mpira jinsi wanavyocheza.
 
Hapa tu kwenye hii thread tayari madrid kashwapigwa 3 - 1
 
Two? Messi and Iniesta? How are they going to battle for building poles while they are building the same house?
 
Two? Messi and Iniesta? How are they going to battle for building poles while they are building the same house?

two top players in the world! Lionel Messi and Christiano Ronaldo
 
yah thats a fact....but it doesn't mean that they don't have a chance to win....remember!!!!

I've watched my fair share of dramatic soccer matches..I'd say we can't rule out the possibility of Madrid winning yet.
 
Ushabiki una raha na karaha zake bana, hapa najiandaa,sio kucheza game yangu, ila kuangalia el classico eti!
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1359568582.893488.jpg
    136.7 KB · Views: 48
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…