Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
Saa mbili mda wa hadariau muda wa tamthilia nzuri wanakata
AF nlitaka kunnua iko kingmz.looh sinnui tenaa
AF nlitaka kunnua iko kingmz.looh sinnui tenaa
Ukweli continental decoder hivi kwa nn mnatukatia Chanel Mara nyingi hadi kero sasa,mnakata hata mda wa taarfa ya habari mnaondoa Chanel za kitanzania. Hivi kwa nini hamjaili wateja,OK hata kama ni marekebsho kwa nn yasifanyike mda mwngine mnasubri saa mbili. Najuta kununua continental.
Kisimbuzi pekee ni DSTV TU.
Kitu DSTV PREMIUM...Local & International games zote na watch live...!
kwani mkuu, unadhani kuna mtu ambaye hajui hilo?!! ila mambo mengine ni kujifanya tu kama huoni kwani hata ukiona uwezo nacho huna. nani anapenda haya kila siku matatizo mala picha ipo sauti hamna,