N nikwaneema Member Joined Aug 14, 2014 Posts 6 Reaction score 1 Aug 27, 2014 #1 Habari, Nina swali naomba mnisaidie, je Expert kwenye maeneo ya kazi ni kina nani? Sheria inasemaje kuhusu expert /foreigners? Nafasi ya watanzania au ulinzi wa ajira za watanzania ukoje? Nikipata jibu naiweka wazi kampuni sitaki kukurupuka.
Habari, Nina swali naomba mnisaidie, je Expert kwenye maeneo ya kazi ni kina nani? Sheria inasemaje kuhusu expert /foreigners? Nafasi ya watanzania au ulinzi wa ajira za watanzania ukoje? Nikipata jibu naiweka wazi kampuni sitaki kukurupuka.
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,812 Reaction score 5,526 Aug 27, 2014 #2 Utaziweza hizo fujo?maana hao ma "expert" ni wengi hapa nchini ,mfano zenji hasa katika industy ya utalii tuna ma"expert' wa kila aina mpaka wa kutembeza wageni kwenye chochoro zetu za stone town!
Utaziweza hizo fujo?maana hao ma "expert" ni wengi hapa nchini ,mfano zenji hasa katika industy ya utalii tuna ma"expert' wa kila aina mpaka wa kutembeza wageni kwenye chochoro zetu za stone town!