Zinatangazwaje ndugu, tunayotoa ni huduma lakin pia ni biashara na ili kuwafikia watu ni lazima ujitangaze, ww ni professional upo na office yako mteja ataijuaje huduma inayotolewa na office yako? Kama shida ni kuitangaza jf, humu jf kuna watu wa aina tofaut tofauti na kuna watu wanahitaji huduma zetu na hawajui watazipataje... Tumeitangaza humu ili kuwarahisishia watu watakao hutaji huduma na sisi tuna uzoefu wa kutosha, kuna watu ambao wako certified.... Niwaombe watu wote watakao hitaji huduma zetu tuwasiliane tu bei zetu ni nafuu sana... Karibuni ACCPRO CONSULTNafahamu professional services hazitakiwi kutangazwa kimachinga hivi. Hapa kuna ukanjanja.
Hongereni sana ACCPRO CONSULT kwa kujitangaza, huduma zenu nilizipenda sana. Hawa jamaa waliniandalia hizo documents mwezi wa tano mwaka huu nilizikubali sana wala hazikunipa shida, pia bei zao ni nzuri mno... Ntawatafuta tena mwezi huu kwa ajiri ya hiyo financial statement....Kwa mahitaji ya kuandaliwa-
FINANCIAL_STATEMENTS.
BUSINESS_PLAN.
Wasiliana nasi kupitia:-
0658 33 99 30 au 0762 06 88 39
Tupo ZANAKI STREET, posta Dsm
==========================
Ukishindwa_kufika_tulipo utakufuata_ulipo.
----------------------------------------------------
#TUNA_UZOEFU_WA_KUTOSHA
Ahsante karibu sana ndugu,Hongereni sana ACCPRO CONSULT kwa kujitangaza, huduma zenu nilizipenda sana. Hawa jamaa waliniandalia hizo documents mwezi wa tano mwaka huu nilizikubali sana wala hazikunipa shida, pia bei zao ni nzuri mno... Ntawatafuta tena mwezi huu kwa ajiri ya hiyo financial statement....