Consider her as a bitch until proven otherwise!

Hili swala mtu mmoja kumpenda mtu mwingine nimejila Ila nimeshindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono mtoa mada kwa 100%mm kinachonisaidia huwa si invest saana kwa ke na ndo maana akiondoka mm sigeuki nyuma
 
Mimi nimeguswa hasa na No.3, wale wanaume wa hapo No.3 sijui kama mnalifahamu hilo kwakweli, mnachapiwa sana walaqhi'..!!

Nakazia, kuweni makini na No.3.!!
Ni mara ngapi umenicheat..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…