Hahahaha. Ila Mungu anawaona mjue. Niliwahi kutoa hela tena ya mkopo ili akatibiwe. Kesho yake kwa mara ya kwanza nikapigiwa whatsapp video call wakati najua simu yake camera ya mbele mbovu. Nikachezwa na machale nikamuambia anitumie screenshot na yeye bila kujua akanitumia. Nikachunguza nikagundua anatumia Iphone. Baada ya wiki moja akaniambia sweet nimepokea hela ya mchezo naenda kununua iphone.Haya ni mawazo ya wanaume WASIOKUWA NA HELA
Kwahiyo hukumrekebisha mkuuHahahaha. Ila Mungu anawaona mjue. Niliwahi kutoa hela tena ya mkopo ili akatibiwe. Kesho yake kwa mara ya kwanza nikapigiwa whatsapp video call wakati najua simu yake camera ya mbele mbovu. Nikachezwa na machale nikamuambia anitumie screenshot na yeye bila kujua akanitumia. Nikachunguza nikagundua anatumia Iphone. Baada ya wiki moja akaniambia sweet nimepokea hela ya mchezo naenda kununua iphone.
Nikamuuliza mbona unayo tangu siku nikupe hela akakataa kabisa.
Nikamkaushia maana nilimuona bado nina nafasi ya kumrekebisha kimya kimya ingawa sasa hivi nimempiga chini
Sent using Jamii Forums mobile app
1:Mdogo wangu umeandika upuuzi hasa heading.as if umekosa ya kitumia?
2: Main body umeandika utoto kasoro no 3.
3:Hope wanaume watasoma no 3 tho wengine tuna uwezo wa kuimudu bila kutegemea mtu.kutokana na hicho kidogo tunachopata
Nb.. Hakuna mwanamke asiependa apate mtu wa kumjali walau hata vizawadi vidogo.
100℅Huwezi shindana na Mwanamke na ukashinda kwenye mahusiano, maadamu Mwanaume ndiye anayemfwata Mwanamke na Mwanamke kazi yake ni kukubali au kukukataa siku zote atakuwa hatua mbili mbele yako labda kama haujampenda.
Mahusiano na Mwanamke hayana ujanja kama kweli umempenda, ni swala la bahati tu kwamba na yeye awe amekuona hivyo na aamue kuplay fair, vinginevyo utaumia sana.
Mimi nimeguswa hasa na No.3, wale wanaume wa hapo No.3 sijui kama mnalifahamu hilo kwakweli, mnachapiwa sana walaqhi'..!!
Nakazia, kuweni makini na No.3.!!
ChakufanyaSalaam.
1.Umekutana na mdada fulani tu moyo wako umemdondokea, kaa jinsi alivyo na muonekano wa kipole, jinsi alivyo mnyenyekevu, anavyokuheshimu nk.
2.Ukipiga hukuti simu yake iko busy, message anajibu kwa muda.
3.Hakuombi ombi hela japo anapendeza, na wewe unamsifia "Umependeza" bila kujua hela ya kusuka na nguo katoa wapi akavaa hadi akakuvutia wewe ukamuona, na unajua kabisa hukumuona wewe peke yako jinsi anavyovutia.
4.Hujui historia yake vizuri, umekutana nae leo kesho unataka mahusiano...namba yake kakupa barabarani or kwenye gari unajua kawapa wangapi, kama kakupa wewe kwanini wengine awanyime?
5.Na mengine mengi members mtaongezea
Una kila sababu ya kulizwa kama unayafanya hayo juu.
Wanaume tupunguze kuwaamini kina dada haraka haraka, hakikisha unawekeza sehemu sahihi kwanza.
Cha kufanya
1.Hakuna kutoa huduma yoyote kubwa, ambayo itakuathiri uchumi wako.
2.Usijibane kwa ajili ya mwanamke, unakopa unamrushia kumbe anaenda kuongezea anunue iphone 11 pro.
3.Hakuna kuamini kama hana mahusiano mengine zaidi yako.
4.Mengine mtaongezea.
Atleast tutapunguza nyuzi za vilio.
Devion
Kashindwa mzazi wake,yeye aliyejuana naye ukubwani ndio angeweza.Kwahiyo hukumrekebisha mkuu
Na wenye hela pamoja na akili nyingiHaya ni mawazo ya wanaume WASIOKUWA NA HELA
Dogo,Mimi nimeguswa hasa na No.3, wale wanaume wa hapo No.3 sijui kama mnalifahamu hilo kwakweli, mnachapiwa sana walaqhi'..!!
Nakazia, kuweni makini na No.3.!!
Haha.!Dogo,
Andika kiyunani...sijakuelewa.
Ujue namba 3 zipo mbili.