Kama atakosa connection atasubili mpaka lini kusubilia kitu ambacho hana uhakika lini atakipata...usiwe mvivu wa kufikiri sumbua hakil yako [emoji61] QUOTE]
mkuu ata kujiajiri kunahtaji connections acha kufikiri kama digi digi.
sent from SIEMENS mkonge.