Connection! Unaweza kazi ya ukonda?

Hujawahi kukutana na konda? Mbona ni kazi ya kujieleza wazi tu.

Kikubwa uwe na suruali yenye mfuko mrefu na isiyo na zipu, hakikisha unakuwa na sauti ya kukoroma ili ukifika kwenye kituo cha basi ulete amsha amsha.

Majina yote ya ndugu uyajue maana abiria ni ndugu zako kabla ya kukupa nauli ila akishakulipa unamuita jina lolote kama OYA, WEWE, BONGE, nk.
 
Kuna zoezi la kufahamu vituo mkuu hii nayo ikoje
 
Waambie abirie aliefika aseme mwenyewe kituo chake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti oyaa, bonge
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tripu ya kwanza orodhesha vitu kwenye karatasi, ili uwe unawasomea mpaka uzee
 
Kuna rafiki mmoja ameniambia kama uko tayari kuna kazi ya ukonda.. Sijawai ifanya hii kazi hata siku 1 kwa wazoefu hii kazi ikoje?
Andika vituo kwenyw karatasi kinachoanza adi cha misho tafuta sare ingia mzigoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…