confirmation

nny

Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
40
Reaction score
5
jaman nimechaguliwa chuo cha udom ila naambiwa inategemea chuo kikubali....sasa sijui niendelee kusubiri au inakuwaje wandugu
 
Kuna rafk yang ameandkiwa amechaguliwa ila hajaandkiwa chuo
 
hivi inaweza ikatokea ushapangiwa kama hivyo halafu chuo wakukatae
 
Hata mimi nimeandikiw selected ina nasubiri confirmation toka chuo. Wadau wenye uzoefu na hii kitu tunaomba mtusaidie maana muda unazidi kusonga.
 
Kama haujapewa option ya kufanya 4th round application basi wewe ulisha thibitishwa na chuo ulichochaguliwa na tcu, but names has not yet released and publicized by chuo na tcu pia.
Nb: tcu wana taarifa that you have been approved by institution/university,
ndo maana hawajakupa nafasi nyingine ya kufanya maombi
Talking from my big thinking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…