angalizo
Kununua computer kwa bei hizi na kwa watengenezaji hao na kwa capacity iliyosemwa inategemea unatumia computer hizi kufanyia nini na kwa muda gani. Ushauri wangu kwa wateja mtafute an independent technical guy ili azi-assess kabla hamjanunua. Ningekuwa mimi ningeprefer clone refurbished computers kuliko hizo brands wanazouza kwa maana nyingi ya hizo zikipata matatizo utengenezaji wake au parts replacement zinaweza kusumbua wakati mwingine. sina lengo la kuwaharibia biashara kama umeelewa my first sentence.
Mimi pia naweza kuwatafutia soko ila mniambie model ya hizo computers zenu ili nijiridhishe maana nafahamu some models ambazo mhh..
Spear ni mkukispear ndiyo nini? kuuliza sio ujinga....
Mkuu naona hujafanya biashara au hujui biashara....
Ukiwa unashida na bidhaa au mzigo hutakiwi kubeep.....kwa maana unanunua bidhaa ile kwa manufaa yako........labda kama huna haja ya kununua unataka kuuliza ndo ubeep lakini huwezi pigiwa mkuuu.....
Chukulia mfano unaunguliwa na nyumba au umevamiwa na majambazi utabeep POLICE au FIRE waje kukusaidia???????
Chukulia mfano unaunguliwa na nyumba au umevamiwa na majambazi utabeep POLICE au FIRE waje kukusaidia???????
Watanzania na mitumba mwisho siku moja tutaletewa hata mitumba ya chakula kilichopikwa kuliwa na kubakizwa. Hivi kwa kiswahili inaitwa nini Vile?
π
Mbona kuna baadhi ya wadau hawapendi mtu aendelee haijatulia jamani tumpe mwenzetu kampani ya kuweza kumsaidia na kumshauri sio mara hujui biashara mara unatumia laptop zilizotupwa mara unatumia vipolo sio vizuri jamani tusaidiane kwa kweli sio kumkandia mtu maana kama wewe umefanikiwa mwenzio anatafuta afanikiwe maana anafamiliana inamtegemea sasa kwa nini unamkatisha tamaa mpe moyo mtu aweze kufanikiwa kama wewe sio mnaleta vigezo jamani maisha hayaendi hivyo kabisa
gm Re: Computers za jumla zinauzwa
Biashara haigombi, mwenye haja ya computer na hizi zinamfaa anunue tu sijaona kosa kwa huyu jamaa kuleta biashara yake hapa.
Ni computer used/refubished.
Computer maker: HP, Dell, na Compaq.
Bei:
P3 ... >700Mhz ... 128MB ... 10Gb ...167,000
P3 ... >900Mhz ... 256MB ... 10-20Gb ... 197,000
P4 ... >1.2Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 212,000
P4 ... >1.5Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 228,000
P4 ... >1.8Ghz ... 256MB ... 20-40Gb ... 258,000
P4 ... >2.0Ghz ... 512MB ... >40Gb ... 288,000
P4 ... >2.4Ghz ... 512MB ... >40Gb ... 334,000
Monitor size: 17"
Ukinipigia nitakupa taarifa nyingine, mfano:
- Namba ya regional manager wa kampuni husika inayouza hizi computer
- Idadi ya shule au taasisi ambazo tayari zimenunua kutoka hii kampuni
- Jina na website ya hii kampuni
- Terms na warranty issues
- N.K
Ni list ya computers yenye kurasa saba (7), unachagua mwenyewe.
Watakaochelewa itabidi wasubiri mzigo mwingine miezi kadhaa baadae.
Atakayewahi nitamkutanisha na regional manager, maana yupo jijini kwa siku chache.
Nitumie PM
Au nipigie kwa namba:0716-352104
Huenda nikakupigia kama una namba ya TIGO
Sorry to have bothered you if you feel this offer is not HOT