nimefanya hivyo mkuu tatizo lipo palepale.
tatizo ni hizo ram aziko compatible na hiyo motherbod cha kufanya angalia speed ya ram huwa wanaandika uwenda ukawa umeweka ram mbili zikiwa na speed tofauti jaribu hv ikigoma ni pm tuonane nijurekebishie
ni kweli niliweka RAM 2 (1GB na 256MB) kabla ya tatizo, nikataka kutoa 256MB ili niweke 512MB nikakosea nikawa nimetoa 1GB CPU ikahesabu total memory = 760MB nilivyoitoa 256MB na kuirudisha ile 1GB ndio majanga yalipoanza cha ajabu hakuna RAM inayofanya kazi na zote ni nzima.
Mkuu ebu fanya hivi, Reset Bios kwa motherboard yako au chomoa bios battery kwa dk 20 kisha rudishia kama itaendelea kusumbua tafuta VGA card.
Mie ninazo kadhaa used
hiyo milio iliyosikika inakuwa mara 2 huwa inawaka na hizo taa za keybord mara 1 na inaashiria tatizo la ram hivyo fuata maelezo ya huyo jama hapo juu ikishindikana chuka brash safisha sehemu za kuwekea hizo ram na itakuwa vyema zaidi ukipata benzine kwa mafundi simu usafishie