N Nzowa Godat JF-Expert Member Joined Jun 15, 2011 Posts 2,785 Reaction score 824 Feb 28, 2015 #1 Nina computer aina ya intel ni hii mitumnba ya computers 4 Africa, inafunguka ndani kwa ndani lakini monitor inakataa ku-display, yaani imepoteza stability kabisa. Naomba msaada namna ya kuirudisha katika hali yake.
Nina computer aina ya intel ni hii mitumnba ya computers 4 Africa, inafunguka ndani kwa ndani lakini monitor inakataa ku-display, yaani imepoteza stability kabisa. Naomba msaada namna ya kuirudisha katika hali yake.