Computer kutumia Bando kinyume na Matarajio

Dah hii kitu di wa kutumia bando la 500 imenifanya niichukie window 10 hakuna raha ya computer tena
 

Asante saana mkuu, ngoja niitafute.
 
Angalia apps zinazorun background kwa kufungua Task manager kisha disable hizo apps simple tu.
 
Toka Windows 10 ilipotoka nilijua hilo litakuwa tatizo. Shida ni kwamba kuzima updates ni changamoto sana kwenye win10 kwa mtu asiejua computer vizuri.
 
Andika "msconfig" enter fungua service tafutata neno "intelligent buckgroud transfer" ondoa untick.
 
Nimeshazima zote hizo mkuu
Na windows 10 ilivyo ya kipuuzi sio kama windows 7 ukizima update kwa muda mrefu utakuja kushangaza window inazingua na badae utakuja ku corupt,kubali tu kuwa lazima kuna siku uwe unaweka bando la kutosha just kwa kazi hyo tuu kama unataka kuendelea kuitumia windows 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
window 10 hii nahisi ni spay maana ukizingua kuipa update Kwa muda inakuja zingua nazani inakula bando sababu ya kutuma taarifa zetu huko Kwa walioitoa
 
window 10 hii nahisi ni spay maana ukizingua kuipa update Kwa muda inakuja zingua nazani inakula bando sababu ya kutuma taarifa zetu huko Kwa walioitoa
 
Hapo tatizo ni updates, hyo computer yako itakuwa ina update kimya kimya programs
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…