Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
Kwa tarakimu(Laki tisa na hamsini) Kwa Maneno (Elfu tisini na tano.)
weka picha.
Me ntakupa 60, uko wap?
I Mepitwa uwezo hata na itel ya elfu95 du
Ni compaq
Microsoft window XP professional
Version 2002
Intel celeron processor 564 HMz
264 MB of RAM
Hard disc 20 GB
Cd room vcd
Bei tsh 95,000/= tu
Elfu tisini na tano tu
Call 0713943432
Email tayozeboss@gmail.com
Wapelekee NIDA Ili Iwasaidie Kuharakisha Uandikishwaji Wa Wapiga Kura Nchi Nzima!
Sasa kwa ni i unataka kuwauzia watu mataka taka? Wewe jipange nunua computer nyingine. Hio hapo hamna kitu.Mkuu Unapo amua ku-reply post za watu nivema ukatumia busara kidogo! au kama ukiona huna busara nivema ukaacha 7bu hujaombwa u-reply xo plz kuwa na heshima na biashara za watu! Huo utani wako hapa cyo sehemu yke!
Sasa kwa ni i unataka kuwauzia watu mataka taka? Wewe jipange nunua computer nyingine. Hio hapo hamna kitu.