Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,483
- 1,675
Hiyo Computer Engineering yenyewe amesoma muda gani? sio ajabu ukute ni miezi 9.......
Hiyo bodi ya kinafiki na ubinafsi na iliundwa na watu wenye upeo mdogo kama wewe, board ndio nini kwani, bodi inakulisha, bodi hiyo imechangia nini kwenye hili Taifa letu la mainjinia wasioweza hata kutengeneza vitu vidogo, tangu kuundwa kwa hiyo bodi mpaka leo hatuoni lolote la maana, miradi yetu yote inajengwa na wazungu tu. Bodi imtambue au isimtambue atabaki kuwa injinia tu.Kaulize Engineers Registration Board watakupa majibu who is an engineer.
Heti unajiita injinia kizembezembe labda injinia wa kubonyeza switch ya mtambo na kuzima, mimi katika uongozi wangu sitakua na mchezo na hawa mainjinia nataka wafanye real engineering sio story story tu.Kaulize Engineers Registration Board watakupa majibu who is an engineer.
Heti unajiita injinia kizembezembe labda injinia wa kubonyeza switch ya mtambo na kuzima, mimi katika uongozi wangu sitakua na mchezo na hawa mainjinia nataka wafanye real engineering sio story story tu.
Unadhani na mimi ni injinia uchwara kama wewe, sio? Mimi ni injinia naye tambua thamani ya elimu za wengine. Kuhusu swala la hesabu sijaona hesabu ya kunishinda hapa duniani, hesabu nilizo fanya wewe huwezi zifanya. Sipendi pure mathematics napenda physics and chemistry mathematics and Accounting mathematics, mimi hizo ndio hesabu nazopenda. Hesabu zenye manufaa kwa taifa.Inaonekana hesabu zilikuwa zinakupiga chenga sana....Ndio maana unahasira na mainjinia
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unadhani na mimi ni injinia uchwara kama wewe, sio? Mimi ni injinia naye tambua thamani ya elimu za wengine. Kuhusu swala la hesabu sijaona hesabu ya kunishinda hapa duniani, hesabu nilizo fanya wewe huwezi zifanya. Sipendi pure mathematics napenda physics and chemistry mathematics and Accounting mathematics, mimi hizo ndio hesabu nazopenda. Hesabu zenye manufaa kwa taifa.
Unaonekana tu wewe ni injinia wa majitaka,niachane na wewe tu...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haha we jamaa una dharau sana, hivi kwanza injinia ni nini, yani unajivunia uinjinia wenzako tunashift saivi tulishachoka kukaa site kupigwa na hard environment, kitu HR, MANAGER, injinia unapiga mzigo mzito wenzako wanahesabu ulicho zalisha aseeeeeeeee. Endelea na uinjinia wako utaishia kutumikia watu, wenzako tunajivunia kuhama carrier saivi
Huo ndio ukweli wanao paki magari wengi ni management sideHahahahhahahah
Sent from my iPhone using JamiiForums
wewe una akili nyingi sana umechungulia nje ya box huwa nawahurumiaga sana wadogo wanaojimwambafy kwamba wao ni engineers na wako competent kwenye manual works.Huo ndio ukweli wanao paki magari wengi ni management side
Safi sana mkuu, mimi nimekuja gundua sisi tulio somea mikozi migumu ya engineering kama tungesomea kozi za management saivi tungekua mbali sana kiuchumi.wewe una akili nyingi sana umechungulia nje ya box huwa nawahurumiaga sana wadogo wanaojimwambafy kwamba wao ni engineers na wako competent kwenye manual works.
mimi mwenyewe nimepinduka sasa hivi nafanya kazi za facilities management,baada ya hapo nitafanya supply chain management/procurement na kuangukia kuwa General Manager.
nimechoka mikazi ya kutumia nguvu nyingi malipo kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo mkuu saivi engineering sio issue tutaishia kutumwa tu huku watu wa accounting, finance, procurement, HR, wanaingia ofisini na vipochi vimejaa lip sticks, na perfume huku engineer anakuja na bonge la gubegi kumejaa PPE.Safi sana mkuu, mimi nimekuja gundua sisi tulio somea mikozi migumu ya engineering kama tungesomea kozi za management saivi tungekua mbali sana kiuchumi.
Ndio hivyo mkuu saivi engineering sio issue tutaishia kutumwa tu huku watu wa accounting, finance, procurement, HR, wanaingia ofisini na vipochi vimejaa lip sticks, na perfume huku engineer anakuja na bonge la gubegi kumejaa PPE.
Haha we jamaa una dharau sana, hivi kwanza injinia ni nini, yani unajivunia uinjinia wenzako tunashift saivi tulishachoka kukaa site kupigwa na hard environment, kitu HR, MANAGER, injinia unapiga mzigo mzito wenzako wanahesabu ulicho zalisha aseeeeeeeee. Endelea na uinjinia wako utaishia kutumikia watu, wenzako tunajivunia kuhama carrier saivi
Mkuu ukubali usikubali uinjinia sio issue bongoNdo maana nikasema wewe labda utakuwa engineer wa majitaka....Nina wasi wasi na kujitambua kwako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usipo badirisha mtazamo wako utaishia site na kipato chako kidogo. Mainjinia wengi saivi washift to MBA mkuu.Ndo maana nikasema wewe labda utakuwa engineer wa majitaka....Nina wasi wasi na kujitambua kwako
Sent from my iPhone using JamiiForums