Given Edward
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 850
- 203
Nina cpu ya compaq with built-in speakers. Kila ninapowasha inawaka kwa kama sekunde 30 then inatoa sauti ya beeping mara mbili halafu inazima. Baada ya hapo inaonyesha kuwaka lakini screen blank. Itakaa hivyo mpaka mwisho. Wadau kibao wameshindwa. Nitashukuru SAANA. Ahsanteni.
Reinstall the OS..............................................
Tumia recovery cd ya kaspersky, u boot kwa kutumia cd hiyo. Itaboot na kuua virus waliosababisha boot failure.
kama uko dar nipigie nije ku solve hlo tatizo ghala ni ndogo sana 0714853959
Hivi mnaposema CPU mnamaanisha nini ? Maana nijuaavyo cpu ndiyo processor kama intel au AMD au bongo ina maana nyingine?
Compaq model gani?toa specs zake tukusaidie,
The problem sio OS ni kwamba CPU ina indicate kuwaka lakini haiwaki.
Na je vile inavyobeep mara 2 (long)?
Hivi mnaposema CPU mnamaanisha nini ? Maana nijuaavyo cpu ndiyo processor kama intel au AMD au bongo ina maana nyingine?
i guec he meant system unit, sema kibongo ndio ishazoeleka kuitwa CPU!!