Huwa nawatamani sana waliosoma hizi Course. Japo sijui uhalisia wa ajira ukoje. Ila huwa naona NGO's nyingi zinahitaji watu waliosoma hizo courses. Kuna Social Works pia n.k.
Ukipata shavu kwenye international organisation yoyote basi ushatusua maisha. Maana intern tu kukulipa +1M huwa hawaoni kazi