Hii Yaki Europe kaka. Nahii siyo yampunga. Inafaa kwa kilimo cha ngano shayiri mtama na vilimo vyengine. Kama Unataka ya bei rahisi. Zipo za kichina nyingi tuu. Lakini hii ni Sawa na Trekta utatumia maisha yako yote. Kuisafirisha tu peke yake kutoka Denmark imetukosti milioni 15. Hii hawezi kuingiza kwenye container. Kuna kuitoa bandarini, bei ya kununulia. Na haijTumika Sana.