njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,675
wewe unaye comment kwenye forum ya Maxence Melo unajua hata coding? unajua hata kutengeneza website, hiyo tecno uliyotumia ku comment upuuzi wako unajua inavyotengenezwaUlishacheza mpira hata?
Ulishacheza mpira hata?
Huyu kocha kwa sajili za dejan na outarra hata ukimpa nafasi ya kusajili wachezaji 30 atafanya sajili za magumashi za ten pasenti hawa ni wapiga deals, anapiga hela anawaudhi mnafukuza mnalipa fidiaWatu wanasema usajili inabidi ufanywe na kocha! Mimi huwa sikubaliani na hilo. Kocha inabidi aikute timu
we umecheza?Ulishacheza mpira hata?
Ule mzuka wa outarra kwangu umeshuka kabisa nilidhani labda sababu yeye na Inonga wanaongea kifaransa itakuwa rahisi kuwasiliana kumbe ni hovyo kabisa.
Outarra ana mazuri yake lakini akipitwa nusu hatua tu kwisha kazi yake ujue nyavu zinaenda kutikisika sijui ni mzito ama nini, agh?
Hata kama kocha ni mbishi kutetea ingizo lake si amuweke namba 6 ambayo tunaambiwa anajua kuicheza, onyango na inonga wacheze nyuma?
Bora angekuja tu yule m cameroon Harvey ngomo, saa nyingine hawa makocha wa kizungu nao ni madalali tu nilishangaa inakuwaje Al hilal inayojijenga upya ikiwa na tajiri mpya aliywekeza 12.5 millions us dollars wamuachie beki wa miaka 23 kwa usd 50,000 tu? bila shaka waliona mapungufu yake
Inaonekana huyu Zoran anaogopeka hapo Simba hata la kumshauri tu amsogeze kipenzi chake outtara namba 6 watu wanaogopa ila tuambiane tu ukweli the defence is shaky
HATA KIPOFU ANALIONA HILO na inaonekana mzungu kaamua kumbeba kijana wake,watu uongozini nao kimya wanategea afeli wamtimue kumbe hawajui makocha wa aina hii huwa hawajali, mtimueni mumlipe fidia yake ya kuvunja mkataba baada ya week mbili unaiskia kapata vilaza wengine wa kumuajiriHawa Jamaa wawili hawana muungano kabisa, tutafungwa sana Kwa timu zilizo Makini
Aina ya magoli tunayofungwa mpaka Sasa , Ukianzia mechi ya Simba na Yanga, ni matokeo ya ubovu wa Outtara na Enonga.
Ntakubaliana nawewe 100%Ule mzuka wa outarra kwangu umeshuka kabisa nilidhani labda sababu yeye na Inonga wanaongea kifaransa itakuwa rahisi kuwasiliana kumbe ni hovyo kabisa.
Outarra ana mazuri yake lakini akipitwa nusu hatua tu kwisha kazi yake ujue nyavu zinaenda kutikisika sijui ni mzito ama nini, agh?
Hata kama kocha ni mbishi kutetea ingizo lake si amuweke namba 6 ambayo tunaambiwa anajua kuicheza, onyango na inonga wacheze nyuma?
Bora angekuja tu yule m cameroon Harvey ngomo, saa nyingine hawa makocha wa kizungu nao ni madalali tu nilishangaa inakuwaje Al hilal inayojijenga upya ikiwa na tajiri mpya aliywekeza 12.5 millions us dollars wamuachie beki wa miaka 23 kwa usd 50,000 tu? bila shaka waliona mapungufu yake
Inaonekana huyu Zoran anaogopeka hapo Simba hata la kumshauri tu amsogeze kipenzi chake outtara namba 6 watu wanaogopa ila tuambiane tu ukweli the defence is shaky
Kwenye hili mkuu nakuunga mkono Combination ya Inonga na Onyango ni bora sana kuliko huyu Ouattara kucheza na InongaUle mzuka wa outarra kwangu umeshuka kabisa nilidhani labda sababu yeye na Inonga wanaongea kifaransa itakuwa rahisi kuwasiliana kumbe ni hovyo kabisa.
Outarra ana mazuri yake lakini akipitwa nusu hatua tu kwisha kazi yake ujue nyavu zinaenda kutikisika sijui ni mzito ama nini, agh?
Hata kama kocha ni mbishi kutetea ingizo lake si amuweke namba 6 ambayo tunaambiwa anajua kuicheza, onyango na inonga wacheze nyuma?
Bora angekuja tu yule m cameroon Harvey ngomo, saa nyingine hawa makocha wa kizungu nao ni madalali tu nilishangaa inakuwaje Al hilal inayojijenga upya ikiwa na tajiri mpya aliywekeza 12.5 millions us dollars wamuachie beki wa miaka 23 kwa usd 50,000 tu? bila shaka waliona mapungufu yake
Inaonekana huyu Zoran anaogopeka hapo Simba hata la kumshauri tu amsogeze kipenzi chake outtara namba 6 watu wanaogopa ila tuambiane tu ukweli the defence is shaky
Topolo linahahaha kuona wana simba waki discuss jinsi gani ya kuingia top 10 ranks za africa kwa kurekebisha makosa ya squad,stay in your lane dunderhead na kina nyeto wenuHujui soka dogo endelea kushabikia rede mpaka ukue kue
Yoote umeongea ila Inonga aache utoto ile mechi ya Kotoko alifanya mizaha mara tatu ajabu ni kwamba hakukua mashabiki ambao ndio hua ugonjwa wakeHATA KIPOFU ANALIONA HILO na inaonekana mzungu kaamua kumbeba kijana wake,watu uongozini nao kimya wanategea afeli wamtimue kumbe hawajui makocha wa aina hii huwa hawajali, mtimueni mumlipe fidia yake ya kuvunja mkataba baada ya week mbili unaiskia kapata vilaza wengine wa kumuajiri
Inonga na outarra aisee hapana kwa kweli bora tu acheze nyoni na kennedy
Fisi wewe...Ningekutukana ila cha tu..unakera sanaUlishacheza mpira hata?