1 Kusoma sanaHabar wakuu
Nashukuru mungu nmepata nlicho muomba nmepangiwa comb ya pcm sasa nilikua naomba mnipe mbinu za kufaulu comb hii acha na ya kupiga msuri iyo nimeshajiandaa
Napenda nijue natakiwa niwe na nn?? Nisome nn zaid(nataka kua engineer) na nini ctakiw kufanya
shukran mkuu1 Kusoma sana
2 hakikisha unamalza topic mapema
3 soma sana Physics maana ndio ngumu kidogo Advn Math na Chem ni za kawaida ila uzisome kila cku.
4 Solve maswali mengi sana kila ukimaliza topic au kipengele katika topic flani vitabu tofaut
5 Solve past paper za necta kwa wingi
nashukuru kwa ushaur nadhan ata wengn wakpita hapa watajfunza ki2Jf isahau dogo ...
Kua serious na masomo...(usimwache mungu pia)
Nasisitiza saana saana kusoma vitabu kuliko vitini,utanikumbuka..
Twit piga sana physics na math...na chemistry topic kubwakubwa..Na usitegemee kila kitu toka kwa walimu
Shirikiana na wenzako
Kuna muda mambo yataonekana mazito,ila usikate tamaa kaza zaidi...
Epuka makundi yasio na tija na kushabikia mpira kupitiliza
NB Hamna kombi ngumu advance,ilimradi uwe umeipenda toka moyoni
Hongera kwa kuchaguliwa kuingia advance...utafikia tuu ndoto zako,usijali chamsingi jitiada na kujituma
Et iyo s.chady bei gan mkuuKwa upande wa physics..usiisahau S.Chand.Maswali mengi ni worked example za humo.
skull gan unaenda ..mm pia nimechaguliw pcm Nsumba secHabar wakuu
Nashukuru mungu nmepata nlicho muomba nmepangiwa comb ya pcm sasa nilikua naomba mnipe mbinu za kufaulu comb hii acha na ya kupiga msuri iyo nimeshajiandaa
Napenda nijue natakiwa niwe na nn?? Nisome nn zaid(nataka kua engineer) na nini ctakiw kufanya
Sikumbuk vzur..jaribu kuuliza maduka kama matatu hiv ili upate range ya beiEt iyo s.chady bei gan mkuu