Ubaguzi ni upi hapo mkuu?Wabaguzi sana
Hahaah unashangaa Bongo muvi wanakaa baa kwenye vile vya cocacola au Pepsi wanaagiza na soda wanakunywaNadhani amekwepa kuifanyia promo ya bure hiyo mbuga. Wazungu wanajali sana biashara. Sio kama sisi unakuta umevaa tshirt ya matangazo mfano tshirt yenye tangazo la sigara au kampuni ya simu bure kabisa unawatangazia wengine na wanapata faida kupitia wewe. Ndio maana kwenye movie wanaedit hata scene zinazoonyesha matangazo mbalimbali. Ukiona tangazo ujue limelipiwa mfano unakuta star kasimama kwenye bango fulani au kavaa jeans au saa fulani yenye nembo kabisa.
Theme yake ni ya mwaka gani? Wakati wa Tananyika au Tanzania na je, inaanzaje mwanzo yaani introduction episode ya kwanza? Usidai Tanzania wakati ilkuwa Tanganyika.Namaste.....
Wakuu Leo nilikuwa nacheki Series ya Colony season 3 na episode 1 ya tarehe 3 may 2018 ...jamaa alikuwa anachota maji kwa style ile ya kufunga ndoo mbili na mti katikati afu unaweka begani ....jamaa alisema "I Feel like a Masai tribeswoman" !!
..... mwanamke (sarah wa prison break) akajibu " Good !! .... Those women walk 40 miles across the Serengeti for water without complaning"
Nilichoona:-
1. Mwanamke wa kimasai au wa kitanzania kwa sababu ya Serengeti wako strong kwakutembea 40 miles kwaajiri ya maji.
2.Ningependa kama angetaja ile mbuga ya wanyama na nchi ilipo as (Serengeti in Tanzania )
View attachment 765231View attachment 765232
kuwa masai sio lazima kuwa mtanzania kuna wamasai wa Kenya kwa mfano ila kwa hoja yako zingatia tu kwamba wametaja hilo jina Serengeti.Namaste.....
Wakuu Leo nilikuwa nacheki Series ya Colony season 3 na episode 1 ya tarehe 3 may 2018 ...jamaa alikuwa anachota maji kwa style ile ya kufunga ndoo mbili na mti katikati afu unaweka begani ....jamaa alisema "I Feel like a Masai tribeswoman" !!
..... mwanamke (sarah wa prison break) akajibu " Good !! .... Those women walk 40 miles across the Serengeti for water without complaning"
Nilichoona:-
1. Mwanamke wa kimasai au wa kitanzania kwa sababu ya Serengeti wako strong kwakutembea 40 miles kwaajiri ya maji.
2.Ningependa kama angetaja ile mbuga ya wanyama na nchi ilipo as (Serengeti in Tanzania )
View attachment 765231View attachment 765232
Kuna wamasai wa Vigwaza, Tanga, Bagamoyo, Upareni, Longish na sehemu mbalimbali ndio maana akawa specific kuitaja SerengetiWabaguzi sana
Wanajua Serrngeti ipo Tanzania. Nikuwa mji mmoja nchi moja nje ya Tanzania mvali tu. Niko sokoni nanunua "Souvenir". Nikaulizwa unatoka wapi nikasema: "Tanzania". Yule mtu akajibu; "Ooh! Serengeti! Serengeti!" Nikamuuliza "umefika?" Akajibu: "Hapana! Tunaona kwenye Video na TV. Pazuri sana!" Wanafahamu. Janja ya majirani zetu kuhodhi tunu zetu haijafanikiwa.Ivi kwani duniani kuna serengeti ngap