master09
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 808
- 559
Namaste.....
Wakuu Leo nilikuwa nacheki Series ya Colony season 3 na episode 1 ya tarehe 3 may 2018 ...jamaa alikuwa anachota maji kwa style ile ya kufunga ndoo mbili na mti katikati afu unaweka begani ....jamaa alisema "I Feel like a Masai tribeswoman" !!
..... mwanamke (sarah wa prison break) akajibu " Good !! .... Those women walk 40 miles across the Serengeti for water without complaning"
Nilichoona:-
1. Mwanamke wa kimasai au wa kitanzania kwa sababu ya Serengeti wako strong kwakutembea 40 miles kwaajiri ya maji.
2.Ningependa kama angetaja ile mbuga ya wanyama na nchi ilipo as (Serengeti in Tanzania )