Coincidence?

Hivi kumbe tunaotumia speed ya light 3ร—10โธm/s huwa tunapoteza mda tu!
Never confuse equals and approximation.


"ุฑู…ุถุงู† ูƒุฑูŠู… ูˆุตูˆู… ู…ู‚ุจูˆู„"
 
Kweli kweli.


Nilichomaanisha ni kwanini tunatumiwa iliyokadiriwa wakati ipo exact value.
Iliyokadiriwa inarahisisha mahesabu.

"ุฑู…ุถุงู† ูƒุฑูŠู… ูˆุตูˆู… ู…ู‚ุจูˆู„"
 
Hapo ndio umeeleza nini? Toa maelezo kitu kieleweke sio unatuwekea picha tu
 
haha...sawa
Unajua namba ikiwa na nukta na nambari nyingi mbeleni huwa inaleta kero kwenye kufanya mahesabu mfano 32.543643 x 20
Lakini namba ya makadirio inakuwa iko vizuri mfano 33 x 20.... Si unaona wepesi ulivyo hapo.


"ุฑู…ุถุงู† ูƒุฑูŠู… ูˆุตูˆู… ู…ู‚ุจูˆู„"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ