Skyblue Senior Member Joined Jan 3, 2014 Posts 196 Reaction score 55 Mar 17, 2015 #1 jamani kwayeyote atakajua au pata taarfa za kuitwa katka post ya graduate in training Tanzania anijuze. na pia kama kuna mtu anajua inaga aje zaid anfahamishe ... asanteni ...wadau wa if.
jamani kwayeyote atakajua au pata taarfa za kuitwa katka post ya graduate in training Tanzania anijuze. na pia kama kuna mtu anajua inaga aje zaid anfahamishe ... asanteni ...wadau wa if.
westgate JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 278 Reaction score 279 Mar 17, 2015 #2 hivi hawa jamaa watakua wanalipa kiasi gani... na wanahitaji watu wangapi hasa!?? mwenye taarifa kidogo kuhusu hili
hivi hawa jamaa watakua wanalipa kiasi gani... na wanahitaji watu wangapi hasa!?? mwenye taarifa kidogo kuhusu hili
Prophet Y Member Joined Jun 12, 2014 Posts 21 Reaction score 3 Mar 18, 2015 #3 Hata Mimi pia nasubiriaaa sijui watatuitaa au ndio wameshapeana wenyewe kwa wenyewe.