mbona hazipatagj ajali???
Nimewahi panda Coaster angalau zina usalama kuliko Noah!!
Wabanwe wafuate taratibu zote za usafirishaji Sambamba na kutumia madereva wenye sifa sio hawa day worker wasiojitambua hata wakikanywa hawaelewi ni kibri tupuMtoa uzi amezungumzia upande mmoja tu wa madhara yanayoweza kupatikana, je anatamani wamiliki wa coaster hizo wapate vibali ili waendelee kusaidia abiria hao wanaotumia huo usafiri au anataka wabanwe waache hiyo biashara?
Mkuu mbona povu tena,umeandika kipambe sana sijui unahulka ya kike
Umekremishwa ndugu coaster 1hdt 24 valves unaijua?hakuna basi wala cruiser(hardtop)ya kuisogeleaCoaster zinapiga makelele tu zikikanyagwa sana ila hazikimbii kihivyo ndio maana hazipati ajali hovyo