Balala hana lolote,ngilu nae ananuka rushwa sana.kwani pwani hakuna wasomi zaidi balala? Je nyie wakenya mnategemea mama ngilu kushughulikia maswala ya ardhi ipasavyo wakati boss wake ndio ndio mnyakuzi namba moja wa ardhi ya wakenya? Hapo mumeingizwa choo cha kike.