Sijui Fareed alimaanisha nini hasa kwa swali lake lakini kama ni juu ya mchango wa wanawake kuwa mbele katika harakati dhidi ya udhalimu wa tawala zao katika hiyo arab spring mfano ni Bi Tawakkul Karman yule raia wa Yemen ambaye hata kamati ya tuzo za nobel iliutambua mchango wake.