autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
Clouds fm wamekuwa wakirusha na kuonyesha vipindi vyao vya redioni kupitia tv na mtandaoni.
Nataka kujikita hapa kwenye tv.
Pongezi kwa kutumia kiteknolojia vizuri.
Turudi kwenye mjadala.....
Je clouds tv imekosa mvuto ndo maana wanatumia vipindi vya redioni kuipandisha???!!!!
Kwanza watangazaji wenyewe hawako huru kama wanavyokuwa kwenye redio kabla tulikuwa hatuwaoni.
Je huku ni kukosa ubunifu wa kutengeneza vipindi vyenye mashiko??
Je wanakwepa gharama za kuandeshaji??!!!!

Huyo babla nilikuwa nasikia sauti yake tu,baada ya kumwona mwenyewe duu nilichoka.
Nimewaona leo wanatoa macho kila muda kuangalia caméra kama huyo babra ndo kawa na aibu hâta makeke hakuna tuwape muda wazoee
wanashindwa kupanga vipindi hambavyo vitakuwa na mashiko kwa watazamaji wa lika lote.
Mi nashindwa kuwapata jamani
Mi sijamwona vp yukoje?
Mi nafikili kuna kitu ulitaka kukiona na hujakipata mi nadhani wapo vizur tu kwenye tv ila uliowaongelea hao ni watangazaji wa tv au redio.mi nadhani jibu unalo mwenyewe.