Oyaaa majomba mwera hao
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 290
- 424
Hii sio ya bure mzee ni pay tv kama Wasafi na TVESafi sana mdogo mdogo watarudisha local chanels zote.
Aiseeee kumbe ndiyo iko hivyo?Ni Channel ya hovyo hujawahi kuona, wanarudia rudia mavipindi, content zao ni za hovyo.
.
Wana Siri ya mtungi wanalirudia rudia, wana mavipindi ya zamanii ya hovyo yale waliyokuwa wanatafuta watangazaji wanayarudia rudia hayana hata sauti 😂😂😂
.
Yaaani eti mtu ulipie kutazama hiyo channel ni kheri ukaangalia katuni
TVE startimes tunaiangalia bureHii sio ya bure mzee ni pay tv kama Wasafi na TVE
Ila ni pay tv ndivyo ilivyo sajiliwa hata Azam wameirudisha ila kama hujalipia kifurushi huioniTVE startimes tunaiangalia bure
Yes! Ipo Zuku hiyo unaweza kucheka ukaanguka chini jinsi inavyonadiwa na content zilizomo kwanza sio HDAiseeee kumbe ndiyo iko hivyo?
mh... Hichi kisimbuzi hakijalipiwa na inaonyeshaIla ni pay tv ndivyo ilivyo sajiliwa hata Azam wameirudisha ila kama hujalipia kifurushi huioni
Ivi Wasafi Tv wanakwama wapi kufanya jitihada channel iwe hewani AzamIla ni pay tv ndivyo ilivyo sajiliwa hata Azam wameirudisha ila kama hujalipia kifurushi huioni
Nahisi hivi vituo vimeambiwa vitoe kiasi fulani cha pesa ili vituo vyao Azam waanze kuvionyesha hela nyingi zimewaponyoka ujue.Ivi Wasafi Tv wanakwama wapi kufanya jitihada channel iwe hewani Azam
Hivi channel huwa wanaonesha vipindi gani ?Safi sana mdogo mdogo watarudisha local chanels zote.
Channel gani Mkuu?Hivi channel huwa wanaonesha vipindi gani ?
Clouds Plus mkuuChannel gani Mkuu?