Clouds mnakera na hiyo theme yenu ya 'kaa'

Bandiwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
9,530
Reaction score
3,556
Ukifungua redio Clouds kutwa ni kulalamika tuu....kaa kaaa, usiwe kaa usiwe kaa, tubebaneee tubebanee !

Alivyovibeba Ruge inatosha bana mnatokera wasikilizaji wenu na vijembe na mipasho isiyoisha !

Acheni uswahili baana !
 
Kama inakukera SIMAMA!!
 
Ukifungua redio Clouds kutwa ni kulalamika tuu....kaa kaaa, usiwe kaa usiwe kaa, tubebaneee tubebanee !
Alivyovibeba Ruge inatosha bana mnatokera wasikilizaji wenu na vijembe na mipasho isiyoisha !
Acheni uswahili baana !
kaa sasa kaboresho kaongezewa jini na shetani mwisho wa siku hitakuja kukamilika kuwa nyimbo,kila kukicha kaa anaongezwa maneno na mifananisho
 
Umeonaa ! Mpaka wamekuwa wajinga banaa !
Wafanye kazi waache uswahili.
Mimi nilifikiri wameacha baada ya fiesta, kumbe ndo wamejazia na majini humo ndani.
 
Tena wanatulazimisha kusikiliza clouds tu!!! Mtazamo wangu jaman!!
 
clouds wanahitaji mwanasaikolojia ili wapambane na adui yao,kwa staili hii watawakera wengi, adui unahitaji umjue udhaifu wake kisha mbane mbavu kwisha hbr yake.. ngoja waendelee kupiga kurunzi redion wkt kushtuka wameshabanwa wao!
 
Yaani wanamtukana mpaka anajua !
 
clouds wanahitaji mwanasaikolojia ili wapambane na adui yao,kwa staili hii watawakera wengi, adui unahitaji umjue udhaifu wake kisha mbane mbavu kwisha hbr yake.. ngoja waendelee kupiga kurunzi redion wkt kushtuka wameshabanwa wao!
Tujchangeni jamani,tuipeleke Nairobi hospital huko watasahau shidddah!
 
Nimefungua kipindi cha michezo, dakika 2 nzima kaa...kaaa...kaaa mara jini ...aaagh !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…