Nadhan TCRA ifike pahala waweke utaratibu kabisaa na mfumo maalum wa kupokea taarifa za Watangazaji wa aina hii na kuwapiga nyundo.Hayo malevi yapo mengi tu, huwa yanaongea ugoro kinyume na taratibu za utangazaji redio
Wewe Idd ya jina lako inakusadifu sina cha kuongezeaMwenye matatizo ni wewe.
Pombe siyo Chai mkuu badilika, hata kama Umempa JISM jicho usijitoe ufahamu kiasi hicho.Uwe na kifua wewe dada,hata ya mmeo chumbani ulishayaanika jukwaani,mengine ni makosa ya kibinadamu.
Wewe dada una mdomo Sana ndo maana hapa jukwaani umeanzisha thread 2000 Kwa mada zingine za kupotezea tu yaani una gubu Sana kwako wewe unajiona Madam perfectPombe siyo Chai mkuu badilika, hata kama Umempa JISM jicho usijitoe ufahamu kiasi hicho.
Wee mtangazaji mpumbavu.Wewe dada una mdomo Sana ndo maana hapa jukwaani umeanzisha thread 2000 Kwa mada zingine za kupotezea tu yaani una gubu Sana kwako wewe unajiona Madam perfect
Mkuu huyu Bw. Mdogo wa hovyo hovyo siyo Mtangazaji, ni kijana mmoja Mwalimu chawa sana Mhitimu wa St.John University. Ngoja nimwache tu namsamehe bure kutukana wakubwa zake waliomvusha.Wee mtangazaji mpumbavu.
Ndo maana nakwambia mwenye matatizo ni wewe.unaumia vipi na vitu visivyokuhusu?redio ina matusi si unaachana nayo?unasikiliza radio nyingine. Au umepigiliwa misumali?Wewe Idd ya jina lako inakusadifu sina cha kuongezea
Wewe hujaona tatizo hizo kauli za Dakota?..umejichagulia jina zuri...Hongera.Mwenye matatizo ni wewe.
Umepotea Sana dada na Wala hujawahi kunivusha Kwa lolote,mm kwasasa nazama maduarani kuchimba madini sijawahi kuwa mwalimu na nimeishia darasa la saba...mm Niko hapa kukuomba dada ya kuwa mambo mengine uwe unanyamaza tu maana hata wewe una madhaifu Yako kibao sema kwavile wewe siyo maarufu na huna influence yoyote ndo maana hutuhumiwi Kwa chochote.Mkuu huyu Bw. Mdogo wa hovyo hovyo siyo Mtangazaji, ni kijana mmoja Mwalimu chawa sana Mhitimu wa St.John University. Ngoja nimwache tu namsamehe bure kutukana wakubwa zake waliomvusha.
Jifunze kutumia vzuri mitandao ya Kijamii Bw.mdogo kuna wakubwa zako na wazazi wako. Haya tufanye umeshindwa nimekubali mimi ni dada!Umepotea Sana dada na Wala hujawahi kunivusha Kwa lolote,mm kwasasa nazama maduarani kuchimba madini sijawahi kuwa mwalimu na nimeishia darasa la saba...mm Niko hapa kukuomba dada ya kuwa mambo mengine uwe unanyamaza tu maana hata wewe una madhaifu Yako kibao sema kwavile wewe siyo maarufu na huna influence yoyote ndo maana hutuhumiwi Kwa chochote.
Siku ukiwa maarufu na ukawa na influence dada nakwambia utatembea uchi kabisa Kwa kupagawa.
Umemuajiri wewe?.YASIYO KUHUSU YAACHE KAKA. jali shida zako.Wewe hujaona tatizo hizo kauli za Dakota?..umejichagulia jina zuri...Hongera.
Sawa "Mjinga mimi".Umemuajiri wewe?.YASIYO KUHUSU YAACHE KAKA. jali shida zako.
Rais wa Cuf tena!Ni kweli hata Mimi nilisikia alisema akija raisi wa cuf wataandamana wenzie wakaondoka studio wakamuacha!!
Mtu uko tungi alafu unagongea na mamilioni ya watanzania as if upo kwenye kilabu Cha banana sio poa